“SINA MAKOSA”-TIMBULO (BrAnD NeW)
Huu hapa ni mpya kutoka kwa Timbulo. Unakwenda kwa jina Sina Makosa. Sikiliza Be Sociable, Share! Tweet
View Article“SO HARDER”- WAKAZI Feat.ALBINO FULANI, ONE THE INCREDIBLE & GODZILLA
This is a new joint from ABACUS EP, called “So Harder” featuring Albino Fulani, One Incredible & Godzilla. The Song was Produced by Duke Tachez of Mlab Records. This song features very diverse...
View Article“MKE MWEMA”-BLACK RHINO Feat. SOPRANO (BrAnD NeW)
Katika maandiko matakatifu ya dini ya kikristo yaani Biblia, mke mwema ameongelewa vizuri katika Mithali 31. Pale “Mke Mwema” ameelezewa aweje na vitu gani vinaweza kumtambulisha. Ukweli ni kwamba...
View Article“MAPITO”- LORD EYEZ Feat.DAMIAN (BrAnD NeW)
The year 2012/2013 has been a tough one for Lord Eyez. He sat in a jail chamber. Got roughened up in the street. His image tarnished. Accused of stealing. It must have been a tough time. But even with...
View Article“MAPENZI BASI”- DIAMOND PLATNUMZ (BrAnD NeW TrAcK)
Unapodhani kwamba Diamond amepunguza kasi. Unapodhani kwamba sasa mzigo wa kupamba kurasa za mbele za magazeti ya udaku umemuelemea. Unapodhani kwamba huenda sasa sifa za kupendwa na mashabiki na...
View Article“UTU UZIMA DAWA”-NAKAAYA
Sijui kama nikisema baada ya kimya cha muda fulani Nakaaya is back nitakuwa nimepatia au nimekosea. Kumbukumbu za haraka hazinijii kwamba mara ya mwisho aliachia single lini. Yote tisa. Kumi ni kwamba...
View Article“POZO LANGU”-MAX LOPEZ Feat. LINAH (BrAnD NeW)
MAXI LOPEZ FT LINAH-i need you(pozo langu) Huu hapa ni mpya kutoka kwa Max Lopez akiwa amemshirikisha Linah. Wimbo unaitwa Pozo Langu. Usikilize hapo chini Be Sociable, Share! Tweet
View Article“JIKUBALI”-BEN POL (NEW TrAcK)
Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Ben Pol. Unaitwa Jikubali. Kimsingi ujumbe uliopo kwenye wimbo huu ni mzuri. Binadamu unatakiwa kujikubali. Unatakiwa kuwa shabiki namba moja wa wewe mwenyewe....
View Article“LOVE ME”-IZZO B Feat. SHAA & BARNABA
Weekend inapofika ni muda wa Love Me. Nimeamua kuuweka wimbo huu mwishoni mwa wiki kwa makusudi kwani naamini kila mtu anahitaji mapumziko na kutafakari. Wimbo unaitwa Love Me. Ni kutoka kwa Izzo...
View Article“WANASEMA”-SUMA LEE (SINGLE MPYA)
Suma Lee analia.Kwanini? Ni mapenzi. Anasemwa.Wanamsema. Mambo lukuki. Mapenzi yana machozi.Unashangaa? Hujawahi kupenda wewe. Au unachokipenda hujui kama unakipenda.Unaona kwa jicho la kioo cha lami....
View Article“SHANNI NA JENNY”-ABBY SKILLS Feat.CHEGE
Ni muda kidogo hatujasikia kitu kutoka kwa Abby Skills ambaye kwa watu wanaokumbuka enzi zile Bongo Fleva inaanza kushika kasi, mtamkumbuka vizuri. Huu hapa ni wimbo wake mpya akiwa amemshirikisha...
View Article“KAMA ZAMANI”-MwanaFA Feat. THE KILIMANJARO BAND, MANDOJO & DOMOKAYA (BrAnD NeW)
Huu wimbo ulitoka rasmi wiki iliyopita. Kwa makusudi sikuuweka hewani. Nilikuwa na bado nina maana yangu. Ukiendelea kusoma bila shaka utanielewa. Kila kizazi kina tabia au haki ya kudai kwamba muziki...
View Article“BYE BYE”-CANNIBAL (BrAnD NeW)
Hii ni brand new toka kwa Cannibal baada ya kuachia Legend iliyotambulika zaidi kwa video yake ya kipekee,Cannibal ameamua kufanya wimbo huu as a special dedication to his father,hii ni maalum kwa...
View Article“UMENIPOTEZA”- INNOCENT MKUMBA (BrAnD NeW)
Ujumbe uliowekwa kwenye e-mail iliyoniletea wimbo huu imenisihi kwamba nitoe support kwa wimbo bora wa mwaka. Ukweli ni kwamba unapopokea ujumbe kama huo, unajiuliza maswali kadhaa.Eeenh! Kwanini?...
View Article“BILA KUKUNJA GOTI”- MwanaFA & AY Feat. J MARTINS (BrAnD NeW)
Mara nyingi mtu akicheza huwa kuna kukunja goti…japo kidogo. Ushawahi kujaribu kucheza muziki au ngoma bila kukunja goti? Nimejaribu kwa kutumia wimbo ambao utausikia hivi punde. Ninachoweza kukwambia...
View Article“NIKUMBATIE (I’M READY TO FLY)”-JOH MAKINI Feat.FUNDI SAMWELI (BrAnD NeW)
Here is the new joint to kickstart your weekend. It is from Joh Makini Featuring Fundi Samweli. The name of the song is Nikumbatie (I’m Ready To Fly). Enjoy Be Sociable, Share! Tweet
View Article“TUPOGO”- OMMY DIMPOZ Feat.J.MARTINS (NeW TrAcK)
When East meet West or West meet East, magic gotta happen. That of course depends on which side of the bed did you wake up from or which ear is better than the other. Good music is good music. This...
View Article“KIMUGINA”-LINEX (BrAnD NeW)
Hapana shaka kwamba Linex ni miongoni mwa wasanii ambao wana kipaji cha kuimba.Kuna utofauti katika sauti yake na pia katika tungo za nyimbo zake. Ni simulizi au hadithi zenye mvuto.Unaposikiliza...
View Article“MWAMBIE MWENZIO”-STAMINA Feat. DARASA & WARDA
Nilipokea wimbo huu wiki kadhaa zilizopita. Majukumu yakawa mengi.Unga ukazidi maji. Na kwa sababu nilishaona wimbo ni kutoka kwa some of the finest young Hip Hop artists wa Tanzania nikaona ngoja...
View Article“KAZI”-CHALZ Feat. SHOSTEEZ (NeW TrAcK)
Here is a new release from Fishcrab Records by Chalz Feat Shosteez which is an all female group managed by Fishcrab label which is under Lamar. Listen up Be Sociable, Share! Tweet
View Article