Hapana shaka kwamba Linex ni miongoni mwa wasanii ambao wana kipaji cha kuimba.Kuna utofauti katika sauti yake na pia katika tungo za nyimbo zake. Ni simulizi au hadithi zenye mvuto.Unaposikiliza unaweza kuona anachokiimba. That is power of story telling.
Huu hapa ni wimbo wake mpya ambao umepikwa ndani ya Seductive Records chini ya producer Mr.T Touches. Wimbo unaitwa Kimugina, jina la binti kutoka kanda ya ziwa ambaye anaumiza roho ya LINEX SUNDAY MJEDA.