Quantcast
Channel: Single/Mpya – Bongo Celebrity
Viewing all articles
Browse latest Browse all 123

“UMENIPOTEZA”- INNOCENT MKUMBA (BrAnD NeW)

$
0
0

inno 001_00000

Ujumbe uliowekwa kwenye e-mail iliyoniletea wimbo huu imenisihi kwamba nitoe support kwa wimbo bora wa mwaka. Ukweli ni kwamba unapopokea ujumbe kama huo, unajiuliza maswali kadhaa.Eeenh! Kwanini? Nani kaimba nk. Nilipousikiliza (mara mbili) nimeona kweli kuna kitu ambacho kinaubeba. Lakini mimi ni mdau mmoja. Kuna wewe msomaji na mpenzi wa muziki. Usikilize hapo chini na bila shaka nawe utakuwa “Judge”

*DETAILS*

*TRACK NAME: UMENIPOTEZA

ARTIST NAME: INNOCENT MKUMBA

COMPOSED BY INNOCENT

PRODUCER: TIDDY HOTTER

STUDIO: ONE LOVE FX

Be Sociable, Share!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 123

Trending Articles