↧
Kama lilivyo jina lake, ukiwa mgumu wa kuelewa muziki unaweza ukadhani…eenh,jamaa kichaa.Hapana na utakuwa unakosea sana.Mzungu kichaa analitambua soko lake na hata lile la mbali. Naamini hivyo. Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwake.TwendeKazi