Quantcast
Channel: Single/Mpya – Bongo Celebrity
Viewing all articles
Browse latest Browse all 123

“Chura”-Kutoka Kwa Snura (Video)

$
0
0

snuramushi

Bila shaka hii inakuwa mojawapo ya video ambazo kabla ya kutoka zilishafanyiwa “promo” ya nguvu. Tuliona utengenezaji wa video. Kisha zikaja clips ndogo ndogo kwenye mitandao ya kijamii. Ni njia nzuri ya kutangaza ujio wa kitu. Wataalamu wa masoko wanasema “tease”. You build anticipation. Hatari yake huwa ni kwamba itakapotoka au utakapokitoa unachokitangaza,kiwe kizuri. Kinyume cha hapo hutokaa uaminike tena na utapoteza idadi kubwa ya watu.

Snura na timu yake walijua hilo. Na pengine ndio maana wakatoa kitu ambacho bila shaka kitaendelea kumweka kwenye ramani ya muziki. Anamzungumzia “chura”. Kama uliwahi kuketi sehemu ukatizama jinsi chura anavyoruka,waweza oanisha na mambo mengi. Madaha,urembo,utundu,ujuzi nk. Na chura, kwa bahati nzuri au mbaya, ukimpiga teke unakuwa umemsaidia tu kufika anakokwenda. Hii hapa video ya Chura kutoka kwa Snura;


Viewing all articles
Browse latest Browse all 123

Trending Articles